Subscribe: IPS Swahili
http://www.ipsinternational.org/rss/swahili.xml
Added By: Feedage Forager Feedage Grade B rated
Language: Swahili
Tags:
afya  agosti ips  agosti  ips  katika  kwa  madawa  msumbiji  nchini kote  nchini  uhaba  ukimwi  vvu ukimwi  vvu  wanaoishi vvu 
Rate this Feed
Rate this feedRate this feedRate this feedRate this feedRate this feed
Rate this feed 1 starRate this feed 2 starRate this feed 3 starRate this feed 4 starRate this feed 5 star

Comments (0)

Feed Details and Statistics Feed Statistics
Preview: IPS Swahili

IPS Swahili

 Uhusiano Dhaifu Kati ya Kuzuia VVU Barani Afrika na Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango
NAIROBI, Agosti 30, 2014 (IPS) - Katika kukimbilia kuokoa watoto wachanga kutokana na maambukizi ya VVU na kutibu mama zao, wataalam wanaonya kuwa suala la msingi katika kuzuia VVU linapuuzwa barani Afrika – matumizi ya njia za uzazi wa mpango kwa wanawake wanaoishi na VVU/UKIMWI.Jitihada za Mwanamke Kutafuta Njia Sahihi za Uzazi wa Mpango
NAIROBI, Agosti 30, 2014 (IPS) - Beatrice Njeri ndio punde tu amerejea kutoka kazini kwake kama mhudumu katika shule ya msingi mjini Nairobi. Ni mwezi wa Agosti 2009.Nini Muhimu Zaidi, Vita juu ya UKIMWI au Vita tu?
JOHANNESBURG/NEW YORK, Agosti 29, 2014 (IPS) - Wanasema kuna vita na inalenga Virusi vya Ukimwi (VVU).Kusaidia Wanawake Wajawazito Nchini Uganda Kuepuka Mimba Zisizotarajiwa
KAMPALA, Agosti 29, 2014 (IPS) - Barbara Kemigisa Alikuwa akijiita "Mwanaharakati wa VVU/UKIMWI". Siku hizi anapendelea kuitwa "Mwanaharakati wa Mpango wa Uzazi na VVU/UKIMWI".Kusaidia Wanawake Wajawazito Nchini Uganda Kuepuka Mimba Zisizotarajiwa
KAMPALA, Agosti 29, 2014 (IPS) - Barbara Kemigisa Alikuwa akijiita "Mwanaharakati wa VVU/UKIMWI". Siku hizi anapendelea kuitwa "Mwanaharakati wa Mpango wa Uzazi na VVU/UKIMWI".Nigeria Yaamka Kukabiliana na Tishio la UKIMWI
Lagos, Nigeria, Agosti 25, 2014 (IPS) - Ndoa ya Tope Tayo ilivunjika miaka 11 iliyopita baada ya kugundulika alikuwa na VVU. Mume wake aliyekuwa na hasira alimchukua mtoto wao wa pekee. Miezi mitatu baadaye, wakati mtoto wa kiume aliyekuwa na umri wa mwaka mmoja alipogundulika kuwa na virusi, mwanaume huyo alikwenda kumtupia Tayo na kumtelekeza.Nigeria Yaamka Kukabiliana na Tishio la UKIMWI

Lagos, Nigeria, Agosti 25, 2014 (IPS) - Ndoa ya Tope Tayo ilivunjika miaka 11 iliyopita baada ya kugundulika alikuwa na VVU. Mume wake aliyekuwa na hasira alimchukua mtoto wao wa pekee. Miezi mitatu baadaye, wakati mtoto wa kiume aliyekuwa na umri wa mwaka mmoja alipogundulika kuwa na virusi, mwanaume huyo alikwenda kumtupia Tayo na kumtelekeza.Africa: Uhaba wa ARV Waukabili Mfumo wa Tiba wa Msumbiji
MAPUTO, Agosti 25, 2014 (IPS) - Uhaba mkubwa wa madawa ya kupunguza makali ya Ukimwi nchini kote Msumbiji unatishia afya na maisha ya mamia kwa maelfu ya watu wanaoishi na VVU ambao wameshaanza kutumia madawa hayo.Uhaba wa ARV Waukabili Mfumo wa Tiba wa Msumbiji

MAPUTO, Julai 1, 2014 (IPS) - Uhaba mkubwa wa madawa ya kupunguza makali ya Ukimwi nchini kote Msumbiji unatishia afya na maisha ya mamia kwa maelfu ya watu wanaoishi na VVU ambao wameshaanza kutumia madawa hayo.Maoni Tofauti Juu ya Kuanza kwa Mpango B+ Nchini Kenya
NAIROBI, Juni 30, 2014 (IPS) - Sekta ya afya nchini Kenya imekuwa ikikabiliwa na changamoto, ikiwa ni pamoja na uhaba wa wahudumu wa afya na mfululizo wa migomo ya wafanyakazi. Matatizo haya siyo tu kwamba yamevuruga huduma za afya, lakini wataalam wa VVU wamegawanyika juu ya kama kuna haja ya kuanza mpango B+ nchini kote au kufanya majaribio tu katika hospitali kubwa kama zile za rufaa.Ndoa ni Kikwazo kwa utoaji wa tiba ya ARV kwa Wanawake wa Swaziland
MBABANE, Juni 30 2014 (IPS) - Kwa miezi kadhaa, Nonkululeko Msibi hakuweza kupata sauti kila wakati alipotaka kutoa habari kwa mume wake. Alijitambua kuwa ameambukizwa na VVU akiwa na umri wa miaka 16 wakati akijifungua mtoto wake wa kwanza katika Hospitali ya Serikali ya Mbabane nchini Swaziland.Matumaini kwa Vijana Wanaoishi na VVU Kaskazini mwa Ghana:
TAMALE, Machi 13, 2014 (IPS) - Ikiwa machozi yanamtiririka shavuni mwake, Zainab Salifu alipanga foleni katika kitengo cha tiba ya homa katika Hospitali ya Mafunzo ya Tamale kaskazini mwa Ghana. Mapema siku hii, kijana huyo mwenye umri wa miaka 18 alishaonekana kuwa na Virusi Vya Ukimwi (VVU).